Incubator

DailyvalueHatch Egg Incubators
Mtazamo wa Kijasiliamali.
Je unapanga kuanza mradi wa kuku au kutotoresha vifaranga? Kama ni hivyo basi dailyvaluesHatch ni jibu lako. Tunatengeneza na kuagiza Incubator kwaajili ya wajasiliamali wadogo wadogo na wa kati wanaotaka kuanzisha uzalishaji binafsi wa kuku na pia Incubator kwaajili ya Uzalishaji wa majumbani. Hii ni njia rahisi na yenye kuleta faida kubwa sana/kipato ukilinganisha na mtaji wa kuanzia ambao ni mdogo sana. Haihitaji Taaluma yoyote kubwa katika kuanza mradi huu maana pia tunatowa mafunzo muhimu yapasayo ili kukuwezesha kuendesha uzalishaji na biashara yako kwa mafanikio na ufanisi mkubwa.
Kama unavutiwa na kuanza utotoreshaji wa vifaranga vya kuku wewe mwenyewe unahitaji vifaa kama Incubators ili uweze kuanza. dailyvaluesHatch itakupatia vifaa vyote muhimu vinavyohitajika ili uweze kuanza sasa mradi / biashara yako ya uzalishaji vifaranga vya kuku.

Kwanini kuanza Uzalishaji wa vifaranga?
Jibu ni fupi sana – hii ni biashara yenye faida kubwa sana maana bado upo uhitaji mkubwa sana wa kuku barani Africa. Ufugaji wa kuku ni Nyanja inayokuwa kwa kasi kubwa sana barani Africa. Nyama ya kuku ni chanzo kikubwa cha protein mwilini na uhitaji wake unaendelea kuongezeka siku hadi siku kwa kasi.

Je ninahitaji pesa nyingi kuanza uzalishaji wa kuku?
Hapana Hauhitaji pesa nyingi! Unaweza kuanza na mtaji mdogo sana kuanza uzalishaji na uuzaji vifaranga na mayai unayozalisha, wa kienyeji au kisasa.

Je ni wapi nitapata vifaa nani vitu gani vinahitajika ili kuanza Uzalishaji.
Utapata vifaa vyote vinavyohitajika kutoka dailvalueHatch. Tunavyo vifaa vyakutosha  tunatoa na kuagiza vifaa bora vilivyopo sokoni na kwa ghalama nafuu sana.
Kitu cha muhimu zaidi unahitaji ni kuanza nacho ni kwanza uwe Incubators na pili mayai yaliyo rutubishwa( yaliyo na kiini hai). dailyvalueHatch tunazo incubator bora sana ambazo tayari sokoni wa guarantee ya miaka miwili. Nunua dailyvalueHatch (dht) Incubator kwetu ukiwa na uhakika kuwa unanunua kifaa kilicho bora na imara kitakacho kufaa katika kukuongezea pato.

DailyvalueHatch Incubator (dht dv Model 120)
Hii ni Incubator yenye ubora wa hali ya juu na inauwezo wa kutotoresha idadi ya jumla ya mayai 120 kwa siku 21na hufanya kazi hiyo yote automatic hii ikiwa pamoja na ugeuza ji wa mayai na uthibiti wa unyevunye ndani ya incubator.
Je Unaanzia Wapi?
Jambo la kwanza la muhimu ni kuamua je unahitaji kuzalisha idadi gani ya vifaranga kwa wiki au kwa mwezi nani kiasi gani cha fedha ambacho umekiweza kwaajili ya mradi huo. Punde utakapojua ni kiasi gani umetenga kwaajili ya kununua vifaa angalia taratibu za mfumo wa uzalishaji  kisha chagua aina ya dailyvalueHatch Incubator itakayo kidhi mahitaji yako kwa sasa mashine kubwa kabisa tunazotoa ni zenye uwezo wa kubeba mayai ya kuku 120-240. Kama unahitaji ushauri zaidi juu ya chaguo la ni Incubator ipi ya kununua jisikie huru wasiliana nasi na tutakushauri kwa umakini kupitia mydailyvalues. Anza sasa kujipatia kipato cha ziada kwa kutupigia simu au tutumiebarua pepe kupitia mydailyavules



DailyvalueHatch Incubator (dht dv Model 120)

 
Jifunze zaidi juu ya Dht incubator                                            Home

No comments:

Post a Comment


widget